Thursday, July 1, 2010

ITAFAHAMIKA BY NEY...WAS IT A REAL DISS???

ITAFAHAMIKA LYRICS BY NEY WA MITEGO

CHORUS

waliopanda wameshuka
wanatetemeka, wanahangaika
hawana pa kujishika, sijui walibahatisha
itafahamika jana ilikuwa zam yao
leo imeshakula kwao x 2


VERSE 1.

sitakielimeisha sitaki fundisha, wala sitaki potosha
ila nataka wakosha
hivi utajiskiaje siku unapewa taarifa mwenyewe unathibitisha
kwamba baba yako ni shoga, aah kuwa jasiri acha uoga
baada ya mzozo kipigo, dawa ya moto ni moto amini we bado mtoto
ushamuuliza mama yako, alichompendea baba yako?
mbona anasura mbaya babaako, au mama yako alipenda hela kwa baba yako
acha niuite mapepe , bongo fleva ni kicheche
sister p anauza pipi, rah p muhudumu guest
dudu baya kawa mganga, mr nive anauza shanga
bongo fleva kicheche,mtoto wa kiume jitume
ili uitwe mwanaume,mbona huna elimu
halafu hutaki kazi ngumu, basi kuwa shoga
ndio kazi isiyotaka elimu
usiende kwa nguvu za ndumu kama wasanii wa bongo
eti bila stimu za bangi hawafanyi show
wengine bila pombe kichwani hawafanyi show
siwatofautishi na binti ambae bado bikira
anamabwana zaidi ya saba na hajapoteza bikira
wamepoteza dira
kikufaacho chako na cha mwenzio sio chako
mama yako sio ndugu yako
baba yako ndio mchizi wako

CHORUS

napiga hatua kwa uhakika, kwa macho zinafutika
mwanzo usio ashiria, kama mawingu na mvua
nilihisi kuacha mziki, gemu imejaa mamluki
wakweli leo ndio feki na feki wanaovateki
mziki wa bongo umeathirika, umeshavishwa nepi
wachache wanawajibika, wengine wawapi weka pembeni njaa zako
gonga hili funiko niaje wanangu wa geto, inawakosha kunako
hamma q i love u, niaje mzee yusuph
wapeni hai mashoga, mashabiki mizoga
dunia ina pande tatu, sio duara tena
waliomo ndani ni fyatu, sio timamu tena
naikumbuka zamani, kipindi cha majani
nyimbo kali redioni zilitoka kwa majani
ngoma kali top 10 zilitoka kwa majini
leo majani kapun
majani gizani
majani maji shingoni
oyaaa! majani kunani
eti majani ndio nani
tuzo ya muimba taarabu bora anapewa b12
ya mwanahiphop bora anapewa mamu
heheee.

CHORUS

AUTRO
hawa watu wamechoka vibaya
sijui wameloweka
east coast team kuna hali mbaya wamedondokea pua
bwana misosi ndungu yangu unafanya kazi hotelini wewe
game imekuwa mbaya vibaya
inspecta haroon babu, we mtu usiskie kitu ndugu yangu
kazi kwako
zay to the b mwana dada gaidi
vipi imekula kwako dada
game inakuchemsha vibaya
itafahamika tu
mnashindwa pakujishikiza
naomba tusitafutane huu mtazamo tu.


DOWNLOAD THE SONG ITAFAHAMIKA REMIX BY NEY
http://www.mediafire.com/?jmyzzyjzzze


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates