DITTO-WAPO[TOP™UJAZOOO!!!®].mp3
Verse 1 Siwezi Kuishi Bila Upendo wako Ulivyoniteka
Naomba Nihifadhi Kwa Mikono Yako Nisije anguka
Nimezunguka Kutwa Nzima Kama wewe sijamuona
Napigwa Vita Chungu Nzima Lakini Bado Napigana
Choras Wapo walotaka Nikuache Nakusema Sitofika Popote
Ndipo Wakanifanya Niongeze Juhudi Nyingi mpaka siku Niwe wako
Sijali Umenitesa Mara ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi
Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe wote Pamoja x2
Verse 2 Sijasahau Usiku Wa Manane ule Ulivyo Nikana
Mbele Ya Nduguzo Na Bwanaako Yule Ukanitukana
Kwa Mapenzi Nilisimama Kama Chizi Nilionekana
Leo Wakusema Hakuna Najua Waamini Nakupenda
Choras Wapo walotaka Nikuache Nakusema Sitofika Popote
Ndipo Wakanifanya Niongeze Juhudi Nyingi mpaka siku Niwe wako
Sijali Umenitesa Mara ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi
Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe wote Pamoja x2
Bridge Penzi Letu Liende mbele lisifike Mwisho oooooo
Tuwe Wote Milele Tushinde Vikwazo oooooo
Wapooooo Ooo oooo oo Wapooooooooooo
Wapoooooooo Wapooooooooooooooo
Hook Sijali Umenitesa Mara Ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi?
0 comments:
Post a Comment
DEE BᵘᵐZ®