Wednesday, October 13, 2010

OLE WAKO UKOSE MZALENDO PUB...FLAVA NITE

BONVENTURE KILOSA Thanks Funs kwa Kuifanya FLAVANITE kuwa SUPER BRAND kwa upande wa disco ,Mahudhurio JUMAMOSI iliopita yalikuwa Mazuri na tunaahidi Kuendelea kuwapa burudani ya ukweli na SATURDAY hii TAREHE 16-10-2010 ndo ile ''UTAKE nite yaani masaa 2 ya Ngoma Za Uganda,Tanzania na Kenya,usiikOse hii

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates