Tarehe 26 mwezi wa 11-2011, CD yenye nyimbo 18 itapatikana katika baadhi ya maduka jijini Dar es Salaam na mikoani pia. kwa kuanzia sehemu ambazo tumepata ruhusa ya wamiliki kuwa kama sale points ni: Zezzou Fashions (tegeta,afrika sana na victoria), Ufishi super market (sinza-mori),Mctemba investment Tabata-baracuda, B.E.T outfit mwenge, Etam fashions - Arusha, Zai-fashions, NSSF building Mwanza, Boom explosion records-kishamapanda Street karibu na Hotel Delux Mwanza. Bado tunaendelea kuwasiliana na sehemu mbali mbali za mkoa mingine kama Dodoma, mbeya na kadhalika na tutawahabarisheni maeneo ziada.
Thursday, November 10, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
DEE BᵘᵐZ®