Thursday, February 4, 2010

KIU YA MASHABIKI WANGU NITAIKATA TU.


Pipi msanii mwenye kipaji cha kuimba mziki wa taratibu na wenye mvuto, kwa sasa ameshamaliza kurecord album yake yenye nyimbo 10. Ndani ya album hiyo amesema kuna collabo la wasanii kibao kama Jua Cali, Gnako, Mangwear nakadhalika.
Pipi amesema album yake imerekodika katika studio tofauti tofauti kama Bongo Rec, Studio 69 kwa producer T.C. Music Lad kwa Producer Duke, Bhitz kwa Producer Pancho na Mzuka record kwa producer Benjamini.
Anasema jina la album bado hajalipata so soon tu nadhani atalipata na ataweza kutujulisha.

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates