Saturday, May 1, 2010

SAJNA
HAYA DOGO...MAUZO 100 ASILIMIA.....HALAFU,HIVI YULE DEMU NADHIFA KWELI DADA YAKO????...HAHAHAAAAA TUACHANE NA HAYO...SASA NAONA UMEAMUA RASMI KUINGIA KTK GAME YA MUZIK..POUWAAA KAMA VP TUNAELEKEA HUKU>>>>>>>
------------------------------------
IVETA LYRICS by SAJNA

Track Name: IVETA
Singer: SAJNA
lyrics composed by: SAJNA
arranged by: KID BWOY & SAJNA
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ

Intro

Oh ooh, ey ye ye yo yoooohh

Oh oohh, we Iveta

ningojee dia, ningojee dia

tetemesha, bwoy

Verse 1

Najua moyo wako unahitaji raha, ila huku mjini karaha

baridii inaumizaa, wewe sweta ulileta mzaha

sijui jibu langu umepata, kuhusu Saj kuja kwenu kukubaliwa

isije kuwa hadithi na ndoto, walishanieleza mapenzi maji ya moto

najua kwamba unanipenda mimi

ubavu wa kushoto ningoje Iveta.

Chorus

Iveta kijijini ningojee mamaa, ningojee dia

huku mjini nakutafutia mama, nakutafutia dia

Iveta kijijini ningojee mamaa, ningojee dia

huku mjini nakutafutia mama, nakutafutia dia

Verse 2

Subira yavuta heri, nisubiri kwa kila lakheri mpenzi

kijijini nimemiss vitu vingi, mboga za majani machungwa matunda

pale nyumbani hadithi za babu, ndugu zangu na utani wa bibi

Iveta nisubiri mimi, tuunganishe familia yangu na yako

Iveta maa, i love u

Iveta maa, i need you

Iveta maa , i love you.

Chorus

Iveta kijijini ningojee mamaa, ningojee dia

huku mjini nakutafutia mama, nakutafutia dia

Iveta kijijini ningojee mamaa, ningojee dia

huku mjini nakutafutia mama, nakutafutia dia

Bridge

Eeh eh ehh eh, ningojee dia

Aah ah ahh ah, nakutafutia dia

Verse 3

Mjini sichoki kutafuta, angalau senti kuja kuzileta

Iveta nisubiri basi mimi, si unajua nakupenda sana wewe

wangapi huku mjini wanitaka, ila najua wewe ndio unaningoja

usiwe na shaka ningoje mama, Iveta wewe

usiwe na shaka ningoje mama, Iveta wewe

usiwe na shaka ningoje mama, Iveta wewe

Chorus

Iveta kijijini ningojee mamaa, ningojee dia

huku mjini nakutafutia mama, nakutafutia dia

Iveta kijijini ningojee mamaa, ningojee dia

huku mjini nakutafutia mama, nakutafutia dia

Outro

eh eh eh eeeeh, haa

oh ooh, ningojee dia wange

ningojee diaaaaaaaaaah, haaa

tetemesha, bwoy.......MWISHO......>>>>>>>

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates