Sunday, June 20, 2010

ALIKIBA NA KESI ZA USESE MOMBASA>>>

STORY YENEWE HIVI........ALIKIBA NA PROMOTER SLY WA MOMBASA NCHINI KENYA WAKO KATIKA WAKATI MGUMU BAADA YA KUJIKUTA WAKIGONGA USESE KWA DEMU MMOJA AJULIKANAE KWA JINA LA NATALI,HIVI KARIBUNI KULIKUWA NA TALENT SHOW ILIYO ANDALIWA NA SLY NA KWA BAHATI NZURI ALIKIBA ALIKUWAMO UKUMBINI HUMO KUSHUHUDIA,NDIPO ALOPOMUONA PROMOTER HUYO(SLY) AKIMLA DENDA(NATALI),ALIKIBA ALIJAA GESI NA KUSEMA MENGI....NA TETESI ZASEMA KWAMBA ANAJIANDAA KUINGIA STUDIO KUTOA SONGI LA KUMDISS SLY... HAYA TWAINGOJA SINGLE HIYO....NAOMBA ITOKE MAPEMA BASI.

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates