Wednesday, June 2, 2010

KING MUSWATI AFANYA KWELI MUSEKE AWARDS>>>>>>>

AMBWENE


Ambwene Ay M happy:Nimeshinda Awards za Museke:East African Song of the Year (LEO)..mafans wangu nawashukuru sana coz mnafanya mambo kwa vitendo na matokeo yanaonekana..tonight nitaparty na watu wangu wa Kampala.Muuuuuuch RESPECT Brothers N' Sistaz!!!


1 comments:

DEE7 said...

kwaniaba ya uongozi wa UJAZO ENTERTAINMENTS....napenda kutoa zangu pongezi kwako AY...ya doin'good and keep it up buddy...one luv

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates