Tuesday, June 15, 2010

PRODUCERS HAWA WAMESEPPA NA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA???

P FUNK"MAJANI"...BONGO RECORDS

MASTER JAY...MJ RECORDS
**********
JAMANI TANGU HAWA JAMAA WAONEKANE KAMA KUUKACHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KTK UPANDE WA PRODUCTION,WADAU WANADAI ETI ILE LADHA HALISI YA MUZIKI HUO IMEPOTEA....WEWE WASEMAJE?

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates