Tuesday, July 27, 2010

BAMBOO...WHERE YA@???

BAMBOO with TALIB KWELI
LISTEN TO THIS ONE OF MY FAV...

ARTIST: BAMBOO & JAYSO
SONG: LONG DISTANCE
YEAR: 2009
LANGUAGE: KISWAHILI, ENGLISH, SHENG

Verse 1 (Bamboo)
si nilitoka Statoe nikiwa na miaka kumi na saba
kwa sababu nilikasirisha mama na baba
wakasema Bamboo utarudi nyumbani
ufundishwe Kiswahili na wadhii mtaani
sa kufika Nairobi niko Kariobangi
wanavuta... na mamacho za rangi
makarao wakitokea hatuonekanangi
juu karao hana mbio amejaza kitambi
sasa siku moja mzeiya ikaenda ikawa
kuhepa karao flani nikapata dame sawa
safi, super, mrembo kweli
akanisalimia, si nishaikuona kwa telly
nikasema yeah, kazi ni kutafuta pesa
unaitwa nani? Bamboo. Mimi Vanessa
usiniangalie hivo macho zinapendeza
wee unacheza, vile umevaa wanitesa
akacheka, nikamwuliza unacheka nini
mi sikujua leo naweza bahatika hivi
malaika roho inapiga kama chizi
na kabisa hakuna couple poa kama sisi
sasa basi unipe namba kabla uende
ama kama unaenda mahali basi si twende
nikupeleke usiteseke na wakorofi
unajua Nairobi kupiga ngeta ni hobby
nikamwambia...
Chorus
it gets harder and harder each day
living without you baby
things would be different if I had my way
one day I'll have my way...
long distance...
inani, inani...
haya mawazo...
inani, inani...
nakupenda sana...
unani, unani...
eeh nakuwaza sana...
siku mingi zinani...
Verse 2 (Jay)
ala, nashangaa, siku mingi zimepita
no matter what I do, hupungui kwa fikira
imekuwa many years
I can't take it no more, mazee Kenya ntafika
can't give up now
nakuambia mazee si ulini-promise ati roho umenipatia
pole sana, simu sijapiga
it gets so hard, it's a hustle out here
ebu karibia ka ngoma umeskia
kwa wale wadhii
wana-roll long distance
haina haja ya ku-give up
if you feel love
and that alone vumilia
ebu kwanza kwenye dance floor fika
this one goes out to my baby malkia
drink one for your sweetheart
put your glasses in the air
baby, cheers
Chorus
it gets harder and harder each day
living without you baby
things would be different if I had my way
one day I'll have my way...
long distance...
inani, inani...
haya mawazo...
inani, inani...
nakupenda sana...
unani, unani...
eeh nakuwaza sana...
siku mingi zinani..
Verse 3(Bamboo)
mimi sikujua
dame anaweza kuwa sure mpaka inakuua
unaumwa na kifua
ukiskia amepata mwingine na wamefurahi
unajifanya haujali lakini unajidai
compe ni compe lakini siku hizi ni noma
jamaa asialike dame wangu nyama choma
nikampigia simu nikasema hallo hallo
uko wapi baby nimekukosa tu sana jo
akajibu mimi niko colle lakini kazi ni mingi
sina wakati hata ya kutazama kipindi
amini usiamini nimekunoki
lakini nashindwa vipi mi sikuoni
fikra mchana mawazo tena jioni
nashinda nikikula lakini bado sinoni
nashinda nikiambia watu nimeku-mind
cheki picha zako zinani-remind rewind
cheza tena kwa kichwa kumbuka tukikatika
karibu na speaker niko karibu kuwika
najaribu kushika
nikuambie
ntakuona siku gani
Chorus
it gets harder and harder each day
living without you baby
things would be different if I had my way
one day I'll have my way...
long distance...
inani, inani...
haya mawazo...
inani, inani...
nakupenda sana...
unani, unani...
eeh nakuwaza sana...
siku mingi zinani..

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates