Monday, July 19, 2010

HIVI NI KWELI DITTO UMEACHA GAME YA MUZIKI???

NAULIZA MASWALI NAJIBIWA KIHUNI....ETI SI UMUULIZE MWENYEWE?...POUWAAA NACHEKI PHONEBOOK...AAAAAAH NAMBA SINA NGOJA NIMPIGIE JAMAA YAKE ANIPE....NAYEYE "SINA NAMBA ISTOSHE JAMAA KAACHA GAME SO KAMA NI ISSUE YA MUZIKI TOSA",MMMMMH...NINI KIMETOKE MPAKA LAMECK DITTO aka DOGO DITTO WA WATUPORI KUACHA GAME???
DOWNLOAD...AFANDE SELE+DITTO-DARUBINI KALI
http://www.mediafire.com/?dvlymyymmwi

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates