Tuesday, August 24, 2010

BAADA YA KUKAMUA KANSAS CITY...SASA JAY AELEKEA SEATTLE 28-AUGUST

READY TO GO!!!
Haya kazi kwenu wana wa EAST AFRICA mnaoishi mitaa ya SEATTLE,mwana HAULE yupo kwenu tayari kukinukisha vilivyo…show itafanyika tarehe 28 AUGUST katika ukumbi wa AFRIQ LOUNGE...Ole wako ukose!!!...pppuuufff>>>

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates