Saturday, August 7, 2010

JAY MOE...RAPPER ASIYE NA KINYONGO KTK COLLABO....

JAY MOE and MCHIZI MOX
NIMEJARIBU KUFUATILIA KAZI ALIZOSHIRIKISHWA MSHKAJI NIMEBAINI KWAMBA ANAHESHIMU SANA KAZI ZA WATU,YUKO RADHI AFANYE VIBAYA KATIKA SONGI LAKE NA SIO SONGI LA KUSHIRIKISHWA,WACHACHE SAAANA WENYE MOYO KAMA HUO,UJAZO.COM INAKUPA HESHIMA YA RAPPER ASIYE NA KINYONGO…PPPUUFFF>>>
DOWNLOAD HIS HIT SINGLE HERE:- JAY MOE-SOME MONEY.mp3

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates