Wednesday, August 4, 2010

UFANISI MZURI WAONGEZA MIALIKO YA SHOWS KWA PROF JAY...

UMBEA WENYE FAIDA KUPITIA FACEBOOKProfesa Jay MTAFUTAJI HACHOKI .... BOSTON NIPO PANDE HIZO JMAMOSI HII TAREHE 7 AUGUST,NJOONI TUJUMUIKE PAMOJA AU SIO??? KARIBUNI SANA!!!!!
Top of Form
about an hour ago · Comment · Like
·         
·        Haillaali Baun and 2 others like this.
·         
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs341.snc4/41379_1386775891_6796_q.jpg
Salvage Nacio Major Safi xana mtu wangu
about an hour ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs341.snc4/41383_1431247771_5904_q.jpg
Haillaali Baun Kumbukumbu zote anazo mr teacher,wape hai marekani wabongo wa mashariki ya mbali,waambie bongo michongo bado si swari,prooooof,kamua kaka mchawi ni yule asiyeta,wajibiiiikaa,mwanachokaaaa
about an hour ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs178.ash2/41768_762011494_9153_q.jpg
Profesa Jay @salvage pamoja sana mtu wangu
@haillaali ha ha ha zimefika mzee mzima ... bado nawajibika ipasavyo ndugu yangu si unajua kazi na sala kila siku???
about an hour ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs341.snc4/41383_1431247771_5904_q.jpg
Haillaali Baun @prof ndio sera kazi na sala tunawajibika huku dini tunaishika,kila la kheri bro
58 minutes ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs178.ash2/41768_762011494_9153_q.jpg
Profesa Jay @hHaillali shukrani sana kamanda wangu waepuke sana wanaotumia mwamvuli wa dini kutengeneza maisha yao binafsi na watu wao . TUMTANGULIZE MUNGU KTK KILA JAMBO bro
50 minutes ago · Like ·  1 person
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs175.ash2/41705_100000414488391_3173_q.jpg
Dee Saba PPPUUUFFF>>>
37 minutes ago · Like · 
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs178.ash2/41768_762011494_9153_q.jpg
Profesa Jay TOOOP UJAAAZOOO
19 minutes ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs175.ash2/41705_100000414488391_3173_q.jpg
Dee Saba yeah man,nambie kaka,lazima wapewe burudani huko>>>
16 minutes ago · Like · 
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs178.ash2/41768_762011494_9153_q.jpg
Profesa Jay kama kawaida mwanakwetu nakwenda nao sawa sana na kinachonifurahisha ni jinsi watu wanavyoipenda na kuithamini kazi yetu na muziki wetu inanipa nguvu sana hii mzazi najiona nahubiri mashairi kama MCHUNGAJI MOSES KULOLA ha ha ha
13 minutes ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs175.ash2/41705_100000414488391_3173_q.jpg
Dee Saba hahahahaaaaaaaa.....safi sana,kama kazi inakubalika tunapandisha bendera kuashiria ushindi kaka....
12 minutes ago · Like · 
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs178.ash2/41768_762011494_9153_q.jpg
Profesa Jay PPPUUUFFF UJAAAZOOO yeaaah mambo yako sawa sana jembe langu pia mialiko inazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na mafanikio ya shows zilizopita kwa mfano Houston ambapo ndipo nilipoanzia tar 4 july wameomba nirudie show nyingine pale so nitawapigia show ya mwisho wakati ndio nawaaga WANYAMWEZI KURUDI BONGO PPPUUUFFF
8 minutes ago · Like
o   http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/hs175.ash2/41705_100000414488391_3173_q.jpg
Dee Saba saaafi sana mwana hebu ngoja tutundike bango ktk blog letu now...
2 minutes ago · Like · tar 20 aug- wichita, tar21 august- kansas city, tar 28 seattle, tar 4 septemb minessota, tar 11 sept Atlanta na tar 12 sept ni georgia hao walishafunga dili ila kuna wengine wengi wanatu book ila hawajamaliza dili na pia bado tunapokea mialiko mbalimbali…”

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates