Thursday, September 30, 2010

DITTO ADONDOSHA MPYA TOKA NGOMA RECORDS

DITTO-WAPO
DITTO-WAPO[TOP™UJAZOOO!!!®].mp3
Verse 1   Siwezi Kuishi Bila Upendo wako Ulivyoniteka
                Naomba Nihifadhi Kwa Mikono Yako Nisije anguka
                Nimezunguka Kutwa Nzima Kama wewe sijamuona
                Napigwa Vita Chungu Nzima Lakini Bado Napigana
Choras   Wapo walotaka Nikuache Nakusema Sitofika Popote
                Ndipo Wakanifanya Niongeze Juhudi Nyingi mpaka siku Niwe wako
                Sijali Umenitesa Mara ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi
                Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe wote Pamoja  x2
Verse 2   Sijasahau Usiku Wa Manane ule Ulivyo Nikana
                 Mbele Ya Nduguzo Na Bwanaako Yule Ukanitukana
                Kwa Mapenzi Nilisimama Kama Chizi Nilionekana
                 Leo Wakusema Hakuna Najua Waamini Nakupenda
Choras    Wapo walotaka Nikuache Nakusema Sitofika Popote
                 Ndipo Wakanifanya Niongeze Juhudi Nyingi mpaka siku Niwe wako
                 Sijali Umenitesa Mara ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi
                 Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe wote Pamoja  x2
    Bridge  Penzi Letu Liende mbele lisifike Mwisho oooooo
                 Tuwe Wote Milele Tushinde Vikwazo      oooooo
                  Wapooooo Ooo oooo oo Wapooooooooooo
                  Wapoooooooo          Wapooooooooooooooo
      Hook   Sijali Umenitesa Mara Ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi?

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates