Saturday, September 4, 2010

TAMASHA LA EAST AFRICA RISE UP LEO 04-09-2010

JCB MAKALLA Leo ndo leo karibu via via kwenye tamasha la East Africa Rise up ,kuanzia tisa mchana mpaka yeee..karibuni sana…

Hili ni tamasha lamuungano wa wasanii kutoka EAST AFRICA…..ARUSHA,NAIROBI,KIGALI….project hii ni ya uzinduzi wa album ya pili iitwayoRISING SPIRITS CONNECTION….


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates