Wednesday, September 22, 2010

VITUKO VYA MRISHO MPOTO NA FACEBOOK HIVI HAPA....

MRISHO MPOTO
BEFORE ANYTHING...DOWNLOAD HIS NEW HIT SINGLE HERE


Mrisho Mpoto Naendelea kujifunza matumizi ya huu mtandao wa face book, sijui hata nilichobonnyeza nimefuta kila kitu.

3 hours ago ·  · 


 • 50 of 64  • Anaph Mbarouk He he he!mjomba ushaanza misamiati yako nin?ha ha ha...umenifurahisha sana mjomba
   2 hours ago · 


  • Genesis Mwaipopo Hahahaha uuuuwi mbavu zangu,
   2 hours ago · 


  • Nguvumali Kombo Haya kaka mdogo , Mpoto ndilo jina lako, mjomba ndio ubini wako
   2 hours ago · 


  • Israel Chimbwi Duh! Poleni sna wanangu ikiwa mpo internet cafei mkicheki ponograph huku jasho ikiwatoka.. Hahahaa pole sna Mjomba japo najua una2danganya..
   2 hours ago · 


  • Richard Mwanja ndo kujifunza huko @Mpoto!!
   2 hours ago · 


  • Good Luck Hi hi hiii, itakuwa alt key hahahaaa
   2 hours ago · 


  • Hassan Mrope Hahahahahah...naomba tetere mzee leo umekamatwa kwa makapi..neno ningejua huja mwisho wa safari..pole sana mjomba ila kweli nikipata muda nitakufundisha..
   2 hours ago · 


  • Frank Mangapi Pole sana kaka. Kuanza upya si ujinga.
   2 hours ago · 


  • Ahmed Issa Mjomba lijalo ni kubwa kuliko lililotangulia angalia usije futa akaunti kwani kuni ya ziada huicheka ile inayoungua jikoni. Kuna wanaokucheka leo yakiwakuta wasishangae wajifunze kwani kinga ni bora kuliko tiba.
   2 hours ago ·  ·  4 people


  • Amasha Omar Hahaha!! Taratibu ndio mwendo mjomba, utafika tuu..
   2 hours ago · 


  • Alfeji Kehongo Kwa vile hujafuta marafiki, natumai unafahamu kuutumia au kama ni mwanafunzi kweli basi unakalia dawati
   2 hours ago · 


  • Conso Sengiyumva Pole
   2 hours ago · 


  • Didas Mugyabuso Mmh hiyo kali mjomba bt kumbuka kwmb"kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala"
   2 hours ago · 


  • Dumulinyi Patrick nadhani ni kweli...lol. Kaa kitako utaujua tu hata mbuyu ulianza ka mchicha
   2 hours ago · 


  • Ahmed Issa Mjomba kuwa makini kwani jiko la mchina halichomi nyama.
   2 hours ago · 


  • Dyness Beny Pole mjomba ni kweli facebook ina mambo mengi sana si marafiki tuu.
   2 hours ago · 


  • Happines Ignas Hahahahahaha mjomba hcho kiitikio umekiimba vizuri hahaha
   2 hours ago · 


  • Donick Sylver Mwaka T Kama hujaelewa mjomba nyosha kidole but sio kwamba nakurudisha darasani
   2 hours ago · 


  • Agrey Mwenyembegu Paukwaaa...
   2 hours ago · 


  • Sangalala Mtingele pole mjomba mambo huenda taratibu tukijifunza kila la heri
   2 hours ago · 


  • Jerry Mayenga ha ha ha...usijli...si twaambiwa pole pole ndo mwendo..af mwenda pole hajikwai..utazoea tu
   2 hours ago · 


  • Godfrey Elias Mayagi Mjomba angalia husije kuwapa mbu wa tutibu maralia! Kkkk
   2 hours ago · 


  • Duncan Munene 
   It's cool you admitted that you cant quite understand all the features on this social network, we all begun like that, some of us writing on the wall thinking we are updating our status and so forth, but like you say "kuuliza sio ujinga" I ...See more
   2 hours ago · 


  • John Nyoni It takes time!,U'll get to know dis very soon!
   2 hours ago · 


  • Jacob Mwalituke Mi naogopa kukoment manake wewe kila neno utamkalo lina maana yake,UCJE UKAWA UNAMAANISHA KUNA WA2 WANAUTUMIA VIBAYA KWA HIYO UFUNGIWE!! Mjomba una maneno wewe
   2 hours ago · 


  • Skinny Mcc Mpoto,kwa kuanzia mafunzo ni Facebook na sio face book.
   2 hours ago · 


  • Namis Mwendapole Hahahahaaaaaa ts funy
   about an hour ago · 


  • Deusdedit Charles Nyoosha kidole juu
   about an hour ago · 


  • Geofrey Kamugisha Hongera sana mjomba kwa kulifahamu tatizo.Naamini utajua sasa kwani jibu la tatizo huanza na tatizo lenyewe.
   about an hour ago · 


  • Deus Valentine ukipata nauli utaelewa vizuri zaidi..
   about an hour ago · 


  • Veronica D Temba Tuli Hahahahahahahahaa!
   about an hour ago · 


  • Mpeni Kabaka pole sana kakaa ila pole pole uta jua.
   about an hour ago · 


  • Deborah Nkwabi mjomba na ujuvi wote huo mjomba...
   about an hour ago · 


  • Mpeni Kabaka Debo computer si kila mtu ana jua na si wote wmesoma computer.
   about an hour ago · 


  • Kitunyantutumbe Mtoto Wa Kijichi polepole ndio mwendo kaka!
   about an hour ago · 


  • Pesa Best Pole sana mjomba pole pole ndio mwendo utajua 2 mjomba kwani lake mtu halimtapishi!tehteh
   about an hour ago · 


  • Jacob Chenga Dwaaah aaah Elimu Aina Mwisho Mjomba
   about an hour ago · 


  • Omar Jk Hahahahaha! chura anapenda maji lakini sio ya moto!
   about an hour ago · 


  • Winston Charlz Mjomba unatania o?ila ucpokosea huwezi kujua mjomba,wape salamu zao..
   about an hour ago · 


  • Jackline Meela Pole sana mjomba kwa kibarua kizito chakujifunza ku2mia mtandao ila nakupongeza kwakutokata tamaa.Hongera!!
   about an hour ago · 


  • Jackline Meela Pole sana mjomba kwa kibarua kizito chakujifunza ku2mia mtandao ila nakupongeza kwakutokata tamaa.Hongera!!
   about an hour ago · 


  • Najma Pirani Oh ow, pole kaka!
   about an hour ago · 


  • Blandina Mvungi ha ha hata wewe mjomba acha visa bana
   about an hour ago · 


  • Rehema Kavishe Pole mjomba tunajifunza kutokana na makosa!!!
   about an hour ago · 


  • Aisha AbdulAziz TEH TEHE ETTEHEH...
   Welcome to the club!!!!!!!!

   about an hour ago · 


  • Adelina Katole Hata mimi nilikua kama wewe mjomba, nikawa nabonyeza bonyeza mpaka nikajua japo vichache bado naendelea kujifunza!
   57 minutes ago · 


  • Ammy Augustine Sanga lol...kupotea njia ndio kujua njia...endelea kujifunza,ukiona umeshndwa kabsa ask 4 help..
   49 minutes ago · 


  • Junior Kisanga teeeeheeeee tunakusubiria umalize hiyo kozi mjomba....
   22 minutes ago · 


  • Benard Rabach HA HA HA HA HA RAAAAAAAAAAAAA ACHA KUZUGA
   19 minutes ago · 


  • Veronica D Temba Tuli Mjomba kunakitu unatafuta wala si bure.nakumbu nairob ulinifundisha kufungua imail iweje leo ukosee.lo!unacho kitaka nadhani ushapata.
   18 minutes ago · 


  • Dee Seven hahahaaaaaaaaaa.....makubwa...pppuuufff...
   2 seconds ago · 


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates