Tuesday, September 14, 2010

WATENGWA WANYAKWA NA POLISI....KISA WANASAKA"KIJITI"

Jcb Makalla Kwa mara ya kwanza toka nizaliwe nimekamatwa na polisi na kuwekwa ndani kwa muda wa nusu saa mimi na watengwa nane bila sababu yoyote..5 hours ago via Mobile Web ·  · 
  • Vincent Munuo haaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!!wapi tena broo hiyo.pole sana man.
   4 hours ago · 


  • Lubata Son Dah!! Pole sana KamaNda...
   4 hours ago · 


  • Sheila Ndila Ina maana hawakuskia Paaah wakajua ni nyinyi
   4 hours ago · 


  • Jcb Makalla BILA SABABU YOYOTE
   4 hours ago · 


  • Sheila Ndila Ina maana hawakuskia Paaah wakajua ni nyinyi
   4 hours ago · 


  • Edmond Azaza Hahahahahahahahahahaha4ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha! Gomba nini? Mamaaangu lazima nikutembelee kesho. Au ni idea ya nyimbo? Maana huchelewi kusema unatania.
   4 hours ago · 


  • Vincent Munuo walivyo jua nyinyi wasani waka waachia fasta fasta ......
   4 hours ago · 


  • Isihaka Hassan Polen sana arifu. Njaa zinawasumbua tu hao.
   4 hours ago · 


  • Kimbunga Kim ‎2pige magoti 2sali..
   4 hours ago · 


  • Chockler Alex Kituo gani tena mkali au ndio hao manyoka ng'wada?.
   4 hours ago · 


  • Vincent Munuo mbona Azaza ume cheka sana una kumbuka ulivyo shikwa na ma veve
   4 hours ago · 


  • Edmond Azaza Jamaa alinicheka sana, ndo maana hata anasema hapa nakua kama siamini. Inabidi nimsikie akiyaongea kwa mdomo wake ndo ntaamini maana kama hii status siioni fresh.
   4 hours ago · 


  • Jcb Makalla Azaza kweli kabisa hii si story tena bila sababu yoyote leo hii jioni pale watengwa studio
   4 hours ago · 


  • Sebastian Maganga Duu! Pole bwana makalla nani aliwatoa?
   4 hours ago · 


  • Vincent Munuo wame kuja studio????????? awa majama wana bero kinyama.
   4 hours ago · 


  • Pius 'Tolloboy' Paul Daz t mek a sense without reason mzee?hebu funguka bana
   4 hours ago · 


  • Biggie Roggie Shirima Wame2mwa hao! Kwahyo mkahukumiwa kifungo cha nusu saa hii hatar
   4 hours ago · 


  • Vincent Munuo hahhaha jcb amkuwa na mavuvuzela mpilize hadi wasepe.............next time ina bidi tununue
   4 hours ago · 


  • Nicko Lenard jamani acheni utani na hizo komenti zenu mwenzenu huku mbavu sina. Poleni watengwa.
   4 hours ago · 


  • Abdull MrSwagz ndo maana 2PAC akasema FUCK THA POLICE!!!!!!!!
   4 hours ago · 


  • Chiombola Joseph Poleni sana watengwa,endelezeni harakati hawawezi kutufundisha uoga,soon nitakuwa kitaa na mhuri kuhakikisha hiphop inasonga!
   4 hours ago · 


  • Edmond Azaza Basi poleni sana Komredi.
   4 hours ago · 


  • Adam Mchomvu mmmh... we si uliwaambia uliskia paa? sasa wanafanya video yake ...stay true watengwa hatujawatenga..ma vibe!
   4 hours ago · 


  • Albert Ntwa fuck em popoz!
   4 hours ago · 


  • Allen Mbasha Boy Mbuza fuc@@@@ polic!!!!!!!!!!!!!!1
   3 hours ago · 


  • Muchiri Simons There is always the 1st time in everything!!
   3 hours ago · 


  • Kazi Maganza Polen xana..ila kibongo bongo..hiyo kawaida yao sana.
   3 hours ago · 


  • Hary Uronus Daah hawa macop's niwakiduwanz ile mbya pnd za mianzi wanaleta kwere mbya mbovu arifu
   3 hours ago · 


  • George Sengati Fuck police walikuwa wanataka jala tu wana njaaaaaa kinyama makarau
   3 hours ago · 


  • Tobber Salim walipokuona mzeiya wakakuuliza we siyo yl jcb unayeheshimika mtaani! n then wakakuuliza leo mnarap wapi...
   3 hours ago · 


  • Frank Michael jombi alishasema polisi wamezagaa kaeni chonjo mtaani. then ikaweje?
   2 hours ago · 


  • Samson Samsonzinjaa Pole arif
   2 hours ago · 


  • Samson Cyper Hiyo ndo dili waliyoipanga.
   Walifanyahvyo ili kuwatoa muhanga.
   Kesho waende wakacheze vanga.

   2 hours ago · 


  • Umbwa Lotuno JCB POLE SANA MAN NA THUGZ WOTE.UKO CHAMA CHA UPINZANI WANAKUPUNGUZA KASI CCM AU?HIYO INAWATISHA MSIJIUNGE UPINZANI THUG.REVOLUTION WONT STOP MPAKA PUMZI YA MWISHO KAKA.MJESHI ANAPOKUFA HATUMWACHI VITANI.
   53 minutes ago · 


  • Dee Seven damn....babylons wanatamani kuwa maliza masela kitaa...
   2 seconds ago ·  · 

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates