Monday, October 4, 2010

I'M BUSY WORKING ON MY FIRST ALBUM(CHIKU KETO)

WE HAD A BROTHER AND SISTER CHAT ON FACEBOOK WITH LA FAMILIA FIRST LADY CHIKU KETO AND THIS IS IT……
CHIKU:- Niaje D?? Ebana mwana(KIDBWAY) anaendeleaje m2 wangu?
DEE7:- mwana(KIDBWAY) aendelea pouwaa mungu anajaalia...
CHIKU:- Haina nouma mungu atamjaalia heri inshalah!
DEE7:- inshallah...nini mpya kwako?
CHIKU:- Narecord ngoma maandalizi ya album yangu!
DEE7:- usha kamilisha ngapi?
CHIKU:- Saba tayari nyingine nadhani keshokutwa mungu akijaalia nitafanya vocal pale Tongwe yaani mzuka 2 m2 wangu.
DEE7:- itakuwa na nyimbo ngapi album yako?
CHIKU:- Cjajua bado narecord kwa sasa then 2taangalia zipi na ngapi ziwe kwenye album!
DEE7:- mzuka mwana,safi sana....
CHIKU:- one love sana kaka....
Well some of the tunes hopping to be dropped pon di album could be these two joints…

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates