Monday, October 18, 2010

THE NGOMA AFRICA BAND PRESENTS"JAKAYA KIKWETE 2010"...FREE DOWNLOAD.

WAITING FOR THE VICTORY ON 31TH-10-2010
Ndugu Waheshimiwa,Wananchi Mabibi na Mabwana!!!!
Katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu,
Usikose kutumia nafasi hii kwa kujipatia zawadi ya nyimbo mbili
maarufu kwa jina la "JAKAYA KIKWETE 2010" nyimbo hizo unapewa bure
kwa mda wa wiki 3 unaweza kuzipata at http://www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band
au www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band au http://www.ujazo.com kwa kubofya katika tovuti hizo unaweza kusikiliza
na kupata ku download kopi ya nyimbo hizo na pia usikose kuungana na ujumbe uliomo katika nyimbo hizo kwamba
"JAKAYA KIKWETE 2010”.Ndugu wananchi msikose kutumia offer hii na nafasi kwa wakati huu muafaka…

DOWNLOAD HAPA…

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates