Thursday, October 7, 2010

THIS IS "DIRTY MODE RECORDS"MOROGORO

JOHNSON (TRIPLESTAR)PRODUCER
NAME: - DIRTY MODE RECORDS
LOCATION:-MOROGORO TOWN (MAZIMBU)
Studio imeanza kazi rasmi tangu mwezi wa 6 mwaka huu 2010. Kazi inazofanya ni pamoja na kurekodi muziki aina mbalimbali kama BONGO FLAVA,HIP HOP,RnB na aina nyingine za muziki kutokana na Mahitaji ya Msanii mwenyewe.
Studio ina producers wawili ambao ni JOHNSON (TRIPLESTAR) pamoja na PROSPER (PROSB).Nyimbo zilizokwishafanywa kwa kipindi hiki ni pamoja na SELO by STONE, YOU KNOW ME- ABY REAL,MTAA WA SABA-MANAMBA,NIONYESHE-TIVA na SEMA UNACHOTAKA-BLACK G.

STONE
STONE
STONE ni kati ya wasanii ambao wapo chini ya label ya studio hii, ameingia mkataba wa kufanya kazi za Muziki na studio hii,wimbo wake wa kwanza unaitwa SELO download hapa(STONE-SELLO[TOP™UJAZOOO!!!®].mp3) ambao umefanywa chini ya usimamizi wa producer TRIPLESTAR,na tayari iko hewani katika vituo mbali mbali vya RADIO.

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates