Sunday, November 21, 2010

NAKO 2 NAKO "KUWAWEKA KATI" HATERS ON VIDEO SOON...

NAKO2NAKO SOLDIERS
"Nako 2 Nako soldiers 2mewavalia haters magwanda,na ni vita tu raundi hii",wasema machizi hawa wasanii wa hiphop wenye maskani yao pale ololoo a.k.a kaloleni arusha,na wamekamilisha video shoot ya track zao mbili chini ya kampuni ya Hoodpixx videos arusha,audio moja ikiwa ni "ndani ya nyumba" toka Bhitz na nyingine "kati kati" toka noizmekah pro arusha.kazi hizi zimetumia mazingira tofauti tofauti ya Atown,viwanja kama club AQ na Empire sports bar huku machizi na warembo kibao kuwapa support machiz wa "nako2nako" katika parts mbalimbali,video ya "kati kati" itatangulia kutimba media ikifatwa na "ndani ya nyumba" itayoachiwa mwezi baadaye,lord eyes asema "hatuwez ruhusu majembe yafie mahabusu,chama kubwa N2N sitakubali tu "kiseserere" hivi hivi (kuseserere-kuanguka)...na Gnako pia anawasisitizia washabiki wa n2n "kaeni macho kupata real ting'az toka kwa wakubwa wa kazi" huku Bou Nako a.k.a "ODINARI" awapa mashabiki na wadau wa hiphop uhakika wa vioo hivyo viwili walivyoshoot kutesa katika media kwa maana ni video mbili matata za madudez,makopo na mipini ya ukweli,huku anacheka,lord alimalizia kwa kusema "hatuwezi sema we are back!kwasababu ukweli ni kwamba we never left the building,nako 2 nako soldiers we battle hard!"..


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates