Sunday, January 30, 2011

LADIES SWITCH YASELF...HERE COMES SELLY TO...U!!!

Anatoka Arachuga "SELLY" aja na remix heavy ya track ya machiz wa "Bad taito" toka kijenge chini,trak inayokwenda kwa jina la "what can i do"..selly asema "Nilifeel sana jinsi machiz wamechanika mule na kwasababu nafanya hiphop pia nikawasiliana nao kuhusu idea ya kuifanyia remix version ya sisi mademu,na humo ndani nimeflow verse mbili na narx akiwa kwenye chorus.pia nimebonga na brother JCB acheze nafasi ya mchizi nayempa mistari hio na ameridhia kwa hiyo natarajia kufanya shooting simple pande za kijenge chini ya camera za hoodpixx"...SIKILIZA HER SONG PON I PLAY LIST...


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates