Wednesday, January 26, 2011
RETURN OF THE KING-AY+MS.TRINITY-GOOD LOOK
What's poppin...Napenda kuitambulisha Brand New Track inayotambulika kwa jina la GOOD LOOK....Kutoka kwangu AY ambayo nimemshirikisha Miss Trinity ambae base yake ni California USA.Project za 2011 ndio zinaanza kuachiwa moja baada ya nyingine.Tunaanza na hii kwanza ambayo audio ilifanyika jijini Dar es Salaam na video yake ilitengenezwa Kampala Uganda...get it in here...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
DEE BᵘᵐZ®