Monday, February 7, 2011

CANNIBAL COMES WITH HIS NEW HIP HOP GROUP...

According to the producer JOHN BLASS of GRANDMASTER RECORDS...the name is yet to be disclosed..this is what him told me "hiyo track ya CANNIBAL akiwa na vijana wake K PLUS,WENDY and MANOP ni ya kwanza kwenye join project flani naisukuma pamojah na DX kuonesha watu uwezo wa Arusha kimuziki mwana,project itaitwa GRANDNOIZ Vol1,japokuwa sipo humo, ndani kutakuwa na ngoma nilizofanya mimi katika hii mizunguko na nyingine kafanya Dx,kuna ngoma ntakuwa nimefanya full na nyingine ye kafanya full,some mi nimefanya beats ye akarecord na some ye kafanya beats na mi nikarecord,,,,,itakua na wasanii toka Arusha na sehemu nyingine,mpaka Kenya kama unavyoona kwa hapo,tunategemea kuimaliza by mwezi wa4,,watu tu wakae mkao wa kula mwana...by the way CANNIBAL yupo mbioni kunyanyuka na vijana wake,kwa sasa ninaowafahamu ni hao ambao wapo kwenye track,,,jina kamili la kikundi bado hawajaliweka sawa,,jioni hii wamenikaribisha kukutana nao katikati ya wiki nikaone walipofikia na pia by then naweza nikapatiwa maamuzi kamili juu ya jina la kundi...here is the track...

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates