Friday, March 18, 2011

JAMBO SQUAD-HIZI SWAGGER

Jambo squad wazee wa "ngastuka" a.k.a watoto wa bibi toka pande za ngarenaro anakotokea dogo janjaro wanakupa izi swagger,hiphop joint iliopikwa ndan ya noizmekah production studios arusha...Jambo squad wanaendeleza mikikati ya album yao pamoja na video ya track yao ya "wa kusindikiza" ilorekodiwa chini ya Jonblass wa Grandmaster na kioo kusmamiwa na dennisMallya wa grandmaster videos,Jambo squad chini ya label ya grandmaster records ni crew moja matata katika upcoming artists wa kaskazini na hii ni dhahiri tokana na show wanazofanya jukwaaani na namna washabiki wanawakubali maalmando,"nigga C" wa jambo asema "Mafanz wetu wanaelewa namna gani maalmandi 2nareprezena hipap na vile 2nakisanua 2kishika kipaza,wazidi kutupatia sapoti kama jinsi walijitokeza kwa wingi kwenye ARUSHA STREET VIBES pale MasaiCamp ijumaa ilopita tarehe 11,pia 2nashkuru sana label yetu ya grandmaster na rap kitaa kusababisha mizuka ya show za hipap apa town,pamoja 2naeza fika mbali"

DOWNLOAD THE AUDIO HERE....JAMBO SQUAD-HIZI SWAGGER.mp3

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates