Tuesday, March 15, 2011

Mo PLUS+ISAYA-NIKO STRONG(BABA WA UKOO)


Mwanahiphop mkongwe toka 009 a.k.a. ungalimited" pande za Arusha anayekwenda kwa jina "MoPlus" anakuja na album yake ya "baba wa ukoo" hivi karibuni itakayosheheni mapini zaidi ya kumi na nne alorekodia katika studios mbalimbali nchini ikiwemo banjo records,watengwa records,noizmekah studios,TGP records na studio zinginezo nyingi pamoja na ushirikiano alliofanya na artists wenzake akiwemo Papaya,JCB,Banx,Gnako,Pain,Frost,Nick wa pili,Narx,Chindo,Isaya,Chaba na Joh Makini....single zitakazotoka kwa ajili ya utambulisho wa "BABA WA UKOO" ni hii ya "request line" aliyoshirikiana na Gnako,Niko strong alopiga na Isaya pamoja na "X-RAY alorekodi na joh makini pale noizmekah...
 Mo anasema "nimeshoot video ya "nipo strong" na ipo tayari kwa usambazaji na nipo katika harakati za kufunga album yangu ili niizindue ntakaposhoot video ya "x-ray" na joh makini kwa hivyo fans wangu wajiset tayari kupokea album hii muda si mrefu"

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates