Friday, April 22, 2011

NIST+KABUU-MAISHA BILA PESA

Msanii Nist akimshirikisha  Kabuu wanakwambia "Maisha bila pesa" hayawezekani kabisa,pesa ndio inazungusha hii dunia na ngoma hii ya mahadhi ya hiphop ilorekodiwa na kufanyiwa mixing katika studio za noizmekah inajieleza vizuri,Nist,mwenye maskani yake arusha pande za Makumira ana lengo la kunyanyua zaidi na zaidi muziki wa kizazi kipya  kwa kuielimisha jamii kupitia kipaji chake cha kughani au kwa kiingereza ku rap,Nist asema,"Beat ya wimbo huu ametengeneza "Papaya" na kisha vocals nikarekodi kwa DX ili kupata quality nzuri na bora kabisa maana muziki wetu sisi vijana umepewa nafasi na nawaahidi mashabiki wangu kiendelea kukaza buti kuiwakilisha kaskazini vizuri kwenye hiphop,natarajia kuunda ngoma nyingine hivi karibuni kutumia beat alioniundia msanii "Papaya" wa kundi la "Kambi tata"

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates