JUST LISTEN TO THIS SONG ON MI PLAY LIST AND TELL ME.....
Saturday, April 30, 2011
GI-RF...IS READY SO BORA 2G-SUPPORT(KENRAZY)
Gi-RF KenRazy the album z done already,its going down on 30th April, in HOT HAUZ formerly Deep West langata rd kando ya T-MALL! Advance tikoz 200/- n 300/- at th entrance,from 7PM MPAKA CHE ...usiambiwe story come uchecky KenRazy performing all his new tracks!! AND NEW VIDEO OFFICIAL RELEASE ,U CAN CHECK OUT THE LYRICS HAPA CHINI....GHIPUKA,,,,HII HATA SI TI-CHI AMA WHOOP,,,NI 2G-SUPPORTY INGINE!!!!!!
Monday, April 25, 2011
Friday, April 22, 2011
NIST+KABUU-MAISHA BILA PESA
Msanii Nist akimshirikisha Kabuu wanakwambia "Maisha bila pesa" hayawezekani kabisa,pesa ndio inazungusha hii dunia na ngoma hii ya mahadhi ya hiphop ilorekodiwa na kufanyiwa mixing katika studio za noizmekah inajieleza vizuri,Nist,mwenye maskani yake arusha pande za Makumira ana lengo la kunyanyua zaidi na zaidi muziki wa kizazi kipya kwa kuielimisha jamii kupitia kipaji chake cha kughani au kwa kiingereza ku rap,Nist asema,"Beat ya wimbo huu ametengeneza "Papaya" na kisha vocals nikarekodi kwa DX ili kupata quality nzuri na bora kabisa maana muziki wetu sisi vijana umepewa nafasi na nawaahidi mashabiki wangu kiendelea kukaza buti kuiwakilisha kaskazini vizuri kwenye hiphop,natarajia kuunda ngoma nyingine hivi karibuni kutumia beat alioniundia msanii "Papaya" wa kundi la "Kambi tata"
Monday, April 11, 2011
Thursday, April 7, 2011
Friday, April 1, 2011
MARLAW AND JUACALI TO MAKE IT HAPPEN KWA EASTER NDANI YA UK...
VISIT http://www.facebook.com/event.php?eid=153653704696140 FOR MORE DETAILS....
"NJOO NAMI" VIDEO BY EVASHIA IS OUT...WATCH IT IN HERE...
EVASHIA
WITH THREE SINGLES ON RADIO,EVASHIA A KENYAN BASED ON USA IS NOW GOOD TO GO...THIS VIDEO IS HER FIRST ONE FROM A SECOND SINGLE “NJOO NAMI”…OTHER SINGLES ARE “LEAVE”…THE FIRST RADIO RELEASED AND CURRENTLY SHE HAS “SHADOW” HITTING AIR WAVES….
Subscribe to:
Posts (Atom)











