Friday, June 22, 2012

LAKE ZONE,RUVUMA AND ARUSHA GET READY...!!!

 SOGGY DOGGY
D.KNOB
BWANA MISOSI
Once again its on!!!,mwezi ujao July 2012 SOGGY DOGGY,BWANA MISOSI na D.KNOB watakuwa na HIP-HOP TOUR kwa mikoa ya Kanda ya ziwa,Ruvuma na Arusha lengo kubwa likiwa ni kutoa burudani kwa mashabiki wao ambao kwani ni mara chache sana wamekuwa wakipata fursa ya kuwashuhudia live kwa stage,katika ziara hizi wataambatana na dancers wao ili kuifanya shughuli kuwa pevu zaidi,ziara hii imedhaminiwa na PRO-2.

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates