“Amani na upendo kwa watu wangu wote…karibu juma mosi hii tuagane japo kuagana nikubaya kama alivyo sema kaka (JIKHOMAN)…naondoka lakini nitarudi kama alivyo sema mbwa mzee(CHINDO MAN)…kwani nyumbani ninyumbani,karibu sana juma mosi hii na kiingilio ni bureeeeeeeeeeeeee”
Wednesday, June 27, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
DEE BᵘᵐZ®