Tuesday, July 3, 2012

MO PLUS-HIZI FLOW 2012

Baba wa ukoo aka MoplUs anadrop another brand new joint la  "Hizi flow" ikiwa ni kazi nyingine heavy from noizmekah.com,the revolution goes on and on till the break of dawn.tukifika hapa tunaswitch hizi flow,Dunya akinidere anakinidere anaezani niko sober bro,call me a big boss,kunidondosha sio easy sio possible,napotimba wanapoa ka viporo" ni baadhi ya punchlines ndani ya joint hili alokalisha mtu mzima plus wa ukoo,take a listen and bump this revolutionary joint till yo speakers falls out!!!!!!
DOWNLOAD HERE

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates