Thursday, April 29, 2010


SUMA
MWANA PICHA YA PILI SASA HII NAKUONA UMEWEKA ALAMA YA PYRAMID....TUAMBIANE UMEUNGANA NA AKINA JAY Z KTK ULE MCHONGO WA FREEMASONS??????

MIKE-TEE
WEWE NDO UNATAKA KURUDISHA ZAMA ZA UTAWALA WA MA CHIEF ETIEEEEEE....WANYALU WAKO TAYARI LAKINI????


J4C
MWANA NIMEVISIKIA VIJI SINGLE VYAKO KIBAO...VIPI MPANGO WA ALBUM?????,AU GHARAMA KUBWA???

DULAYO(DEE-TIMING)
ETI MWANA YULE DEMU WAKO WA KULEEE NANIHII...TABATA UMEMTOSA????

DARKIE MASTER
HIVI NIKWELI KWAMBA CHAMBER SQUAD KUNA UBAGUZI BROTHER?????

Wednesday, April 21, 2010



KING MUSWATI(AMBWENE YESAYA"AY")AKIPOKEA TUZO YA BEST EAST AFRICAN ARTIST NCHINI KENYA..

Tuesday, April 20, 2010

KEEP YOUR WORRIES-GURU feat ANGIE STONE

[Angie Stone]

Ooooooh-ooooooh (uh mm)

(mmm) Ooooooh-ooooooh (uh mm, keep your)

Yeah yeah, my brother Guru

and Angie Stone (ooooooh-oooooh)

and DJ Scratch (yeah mm mmm)

Uhh Guru, and Angie Stone

{*Angie Stone keeps harmonizing*

Chorus: Angie Stone

Keep your feet, out my shoes

A nigga like me done paid my dues

Keep my comb, out your hair

Unless you bout ready to take it there

Keep my name, out your mouth

Until you got somethin worth talkin bout

Keep your hands, to yourself

Cause I belong to someone else

[Guru]

It's the, G-U-R-U, once again settin it off

Lettin it off my chest plus, bettin it all

Record sales, awards, accolades I'm, gettin it all

Mad chips, right above my grip I'm, lettin 'em fall

Who said the G-O-D wasn't comin to do his thing

Who said the industry, wasn't gonna bow to this king?

I paid dues stayed true so I, made it through

If you handle your B-I fly guy you can make it too

Your potential is infinite, be wise visualize witness it

Why waste your time focusin your mind on limp shit?

Angie understands me, and Scratch got my back

So keep away from the fire, burnin desire, yo we got that

Chorus

[Guru]

I've never been a,

stranger to struggle gotta maintain my hustle

Used to let the anger bubble

These streets can bring mad danger and trouble

And I can do bad all by myself

Do me a favor - don't be concerned about my wealth

If you're one of my peeps, you're gonna know that

But if I ain't feelin you player, huh

My face is gonna show that

So keep your eyes off my pockets

Don't be surprised if I cocked it

Can't outslick a can of oil, you never spoil my profits

See how I'm flippin this here?

Things are different this year

Ain't got no time to listen to niggaz

that be trippin this year

Cause and effect, I always get, applause and respect

When I rhyme, universal laws, truth and righteousness connect

[Angie Stone]

You see the knowledge that I'm kickin's for you

And there is nothin that another can do

Try to stop me but I make it through

Recruitin angels as a warrior I'm true

People need people, it's true

True pride will sustain

In order to do what I do I can let you live

with me inside my brain

Chorus w/ variations

[Guru]

I've been tellin you, that there's war out here

And I've been tellin you, that there's more out here

So stop limitin your thoughts

Stop reconstructin your plots

It's more than luck it's an art

No more, duckin from NARC's

Haters stay at a distance, haters keep away from my fam

Haters stay in my business, haters still playin this jam

Mad Wisdoms, reflect the light of this man

Some jealous rappers, tried to pick a fight with this man

But despite all the nonsense, and false pretense I bomb this

Peace to those I get along with, my real nigga I'm strong with

And never get me twisted with no wack shit

And all that foolishness you was kickin, heh

I know you wanna take it back kid

Chorus 2X

[Angie Stone]

Uhh.. Guru.. check it

DJ.. Scratch and Angie

Uhh..

Uhhhhh, ooooh yeahhh yeahhh
in luvin'memories of GURU...downoad the the song KEEP YOUR WORRIES...the link is here:-GURU+ANGIE STONE-KEEP YOUR WORRIES.mp3

THE DEATH OF GANGSTARR”GURU”
Influential rapper GURU has died aged 43 yesterday morning 19th April 2010 after a battle with CANCER…
The NEW YORK born mc had suffered CARDIAC arrest on march-2 and was in COMA for some time…as the owner of ujazo blog I would like to send my condolences to all HIP HOP fans….R.I.P jazzmatazz master GURU…


widgeo.net

Saturday, April 17, 2010



KUDADADEXXXXX.....MTU MBILI KAMA MILLION MIA MBILI NA MBILI......HII NDIO TOP UJAZO CREW(DEE7 and DJ-MALIZ)KUTANA NAO KATIKA AFRICAN BEATS(TOP UJAZO) NDANI YA KISS FM....JUMA TATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA KUMI NA MBILI JIONI HADI SAA MBILI USIKU...RRRRRRRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!....TUNAELEKEA HUKU>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!,DUUUUUUUUUUH,MWANA UNAZIJUA SURA HIZI????

HAWA JAMAA NIAJE,WANAMPANGO WA KUGONGA NGOMA YA PAMOJA YAANI COLLABO AU IKOJE?????(CHEGGE and RAMA DEE)

Thursday, April 15, 2010



Rrrrrraaaaaa!!!!....X-PLASTAZ DID IT AGAIN
Amsterdam/Stockholm, April 13, 2010

Hip hop group X Plastaz, known internationally through their 'Maasai hip hop' album and their fusing of traditional Maasai chanting with Swahili rap lyrics and hip hop beats, are releasing their new music video 'Mic moja' on the web today.

Video link: http://www.youtube.com/watch?v=H8dz8VoIIgY

'Mic moja', a song talking about the bare essence of hip hop music ('all we need is a microphone, a piece of paper and a pen') was recorded by X Plastaz member Ziggylah (aka KZZ). The video was shot in the suburbs of Stockholm, Sweden during October 2009 and is intended as a web-only video. It is the second music video since X Plastaz 'comeback' last year, when they released the 'Furaha' video with FidQ after a three-year hiatus caused by the death of their group member Faza Nelly. Also last year, group member Gsan participated in the BET Hip Hop Awards in the USA alongside KRS One, Wale and Nipsey Hussle.

In 2010 X Plastaz have planned further new releases including the track 'Maasai reggae' which fuses roots reggae music with a traditional Maasai song, and another collaboration with Dar es Salaam's finest Fid Q and singer Bamba Nazar, who is better known as the producer of Redman's latest track 'Coc Back'. That video to the upcoming X Plastaz song was recorded in Arusha and Zanzibar during the island's power cut of February 2010 and will be out before June.

More info about X Plastaz at their official website www.xplastaz.com and their Facebook fanpage www.facebook.com/xplastaz



BWANA MISOSI

HAJAWAHI CHAGULIWA HATA MARA MOJA KUGOMBEA TUZO...ILA MWAKA HUU YUMO..
>>>MPIGIE KURA KATIKA KILI MUSUC AWARDS 2010 KUPITIA WIMBO WAKE WA MUNGU YUKO BUSY.

KUMPIGIA KURA:-andika kilim56 kisha tuma kwenda namba 15723<<<

TAYARI AMEKWISHA ACHIA KAZI YAKE MPYA MWAKA HUU WA 2010 INATAMBULIKA KAMA "HUWEZIJUA"AKIMSHIRIKISHA MTUMZIMA KUTOKA CALIF...JUA CALI...GOMA LINABAMBA NA LINAKIMBIZA KWASASA ON RADIO STATIONS ALL OVER EAST AFRICA....JIONGEZE HAPO DOWN KUNA LINK YA KUDOWNLOAD NGOMA ZA MISOSI IKIWAMO NA HIYO MPYA"HUWEZIJUA",PATA FLAVA NOW!!!
DOWNLOAD HERE:-BWANA MISOSI TRAXX-FOR PROMO ONLY(DEE7).rar

Monday, April 12, 2010


DEE7’S TOP SEVEN REGGAE EDITION


DEE7’S TOP SEVEN REGGAE EDITION
1. RIHANNA-RUDE BOY(COME OVER)RMX
2. BARRINGTON LEVY+SNOOP,MIMS-MURDERER
3. JAH CURE-SAVE YOURSELF
4. SEAN PAUL-DOWN THE LINE)
5. SAUTI YA RASTA-W.F.T.E(produced by JOHN BLASS)
6. REDSAN+SHINDE-UNBREAKABLE
7.AKON-BEAUTIFUL RMX

Friday, April 9, 2010

THE SHOOTING OF A VIDEO FOR THE SONG(GENGE LUV...NONINI feat LADY B)

Piga kura

Mwaka huu unaweza kumpigia kura msanii/bendi kwa SMS! SMS namba maalum (code number) iliyo pembeni ya jina la msanii/bendi (Kulia) kwenda namba 15723. Au unaweza kuchagua msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii waliopendekezwa, kwa kubonyeza alama pembeni ya jina lake na kubonyeza Vote hapo chini.

Wanaotaka kutuma kupitia posta, andika jina lako, anwani na utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta kwenda:

KTMA 2010
C/o Deloitte Consulting Limited
P.O. Box 1559
Dar es Salaam, Tanzania.


Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwenda ktma2010@deloitte.co.tz, Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!

au CLICK HERE

NOMINEES.

Lady Jaydee
Mwasiti Almasi
Maunda Zorro
Vumilia Mwaipopo
Khadija yusuphu

Wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kiume

Marlow
Banana Zorro
Mzee Yusuphu
Ally Kiba
Christian Bella

Wanaowania Albamu Bora ya Taarab

Jahazi Modern Taarab (Daktari wa Mapenzi),
Five stars Modern Taarab (Riziki mwanzo wa chuki),
Coast Modern Taarab (Kukupenda isiwe tabu),
New Zanzibar star (Powa mpenzi),
East African Melody (Kila mtu kivyakevyake).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Taarab inawaniwa na

Daktari wa mapenzi (Jahazi Modern Taarab),
Roho mbaya haijengi (Jahazi Modern Taarab),
Msitujadili na Riziki mwanzo wa chuki (zote Five stars Modern Taarab),
Kupenda isiwe tabu (Coast Modern Taarab).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Mwaka inawaniwa na

Marlow (pii pii - Missing my baby),
Diamond (Kamwambie),
Banana Zorro (zoba),
Hussein Machozi (Kwa ajili yako).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi ni

Machozi Band (Nilizama),
African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Top Band (Asha),
FM Academia (Vuta nikuvute),
Extra Bongo (Mjini Mipango).

Tunzo ya Albamu Bora ya Bendi inawaniwa na

African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Kalunde Band (Hilda),
Msondo Ngoma Music Band (Huna Shukrani).

Tunzo Bora ya Wimbo Bora wa R&B wanaowania ni

Belle 9 (Masogange),
Diamond (Kamwambie),
A.T na Stara Thomas (Nipigie),
Maunda Zorro (Mapenzi ya Wawili),
Steve (Sogea Karibu).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Asili ya Kitanzania inawaniwa na

Mrisho Mpoto (Nikipata Nauli),
Machozi Band (Mtarimbo),
Offside Trick (Samaki),
Wahapahapa Band (Chei Chei),
Omari Omari (Kupata Majaaliwa).

Wanaowania Tunzo Wimbo Bora wa Hip Hop ni

Joh Makini (Stimu Zimelipiwa),
Quick Racka (Bullet),
Chid Benz (Pom pom pisha),
Mangwea (CNN),
Fid Q (Iam a professional).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Reggae inawaniwa na

Hemed (Alcohol),
Dabo Ft. Mwasiti (Don't Let Go),
Man Snepa (Barua),
Matonya Ft. Christian Bella (Umoja ni Nguvu).

Kwa upande wa Wimbo Bora wa Ragga, wanaowania ni

Dully Sykes (Shikide),
Bwana Misosi (Mungu yupo bize),
Drezzy Chief (Wasanii),
Benjamin wa mambo jambo (Fly).

Tunzo ya Rappa Bora wa Mwaka inawaniwa na

Chokoraa
Ferguson
Kitokololo
Totoo ze bingwa
Diouf

Tunzo ya Msanii Bora wa Hip Hop ni

Joh Makini
Chid Benz
Mangwea
Profesa jay

Tunzo ya Wimbo Bora wa Africa Mashariki inawaniwa na

Blue 3 Ft. Radio and Weasal (Where you are),
Kidum Ft. Juliana (Hturudi nyuma),
Cindy (Na Wewe),
Radio and Weasal (Bread and Butter),
Kidum (Umenikosea).

Tunzo ya Mtunzi Bora wa nyimbo ni

Mzee Yusuphu
Mrisho Mpoto
Lady Jyadee
Banana Zorro

Tunzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki ni

Lamar
Marco Chali
Hermy B
Allan Mapigo
Man Water

Video Bora ya Muziki wa Mwaka inawaniwa na

Lady Jaydee (Natamani kuwa Malaika),
Diamond (Kamwambie),
AY (Leo),
Banana Zorro (Zoba),
C Pwaa (Problem).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Fro Pop inawaniwa na

Banana Zorro (Zoba),
Ally Kiba (Msiniseme),
Marlow (Pii pii - Missing my baby),
Mataluma (Mama Mubaya),
Chegge (Karibu kiumeni).

Tunzo ya Msanii Anayechipukia
Belle 9
Diamond
Barnaba
Quick Racka
Amini

Tunzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana unawaniwa na

AT na Stara Thomas (Nipigie),
Mangwea na Fid Q (CNN),
Barnaba na Pipi (Njia Panda),
Mwana FA na Profesa Jay na Sugu (Nazeeka Sasa),
Hussein Machozi na Joh Makini (Utaipenda).





Nairobi! Africa's King of RnB is here! Join us this Friday April 9th at The Zen Gardens for an exclusive Darey VIP Album Listening Party.

Purchase a ticket at 3000 bob and enjoy a welcome cocktail, free bitings, and other yummy surprises the whole night.

That's not all though, all those in attendance will enter Naija Nite at The Carnivore absolutely FREE the following nigh


Monday, April 5, 2010


AKUNDAELI-THE BONGO MUZIK MIXTAPE IS COMIN'@CHA SOON!!!!!

BONGO MUZIK FOR PROMO ONLY-VOL TWO
BONGO MUZIK-2010- FOR PROMO ONLY-VOL.TWO(DEE7).rar
OR:-http://www.multiupload.com/KYFDCPB8VU

BONGO REGGAE FOR PROMO ONLY

DEE7'S BONGO REGGAE FOR PROMO ONLY-VOL.ONE.rar

Thursday, April 1, 2010


DOWNLOAD "BONGO MUZIK-2010- FOR PROMO ONLY(DEE7-VOL:-ONE)"
http://www.4shared.com/file/254465055/68aee5af/BONGO_MUZIK-2010-_FOR_PROMO_ON.html
OTHER TRAXXX FOR ROMO.....
http://www.4shared.com/file/254451656/3de82520/RAMA_DEE-RIDHIKA_NAMI.html
http://www.4shared.com/file/254454541/8f0fcfa9/SALMOOPEST_MAN-NAUMIA.html

Template by:
Free Blog Templates