Thursday, April 15, 2010
BWANA MISOSI

HAJAWAHI CHAGULIWA HATA MARA MOJA KUGOMBEA TUZO...ILA MWAKA HUU YUMO..
>>>MPIGIE KURA KATIKA KILI MUSUC AWARDS 2010 KUPITIA WIMBO WAKE WA MUNGU YUKO BUSY.

KUMPIGIA KURA:-andika kilim56 kisha tuma kwenda namba 15723<<<

TAYARI AMEKWISHA ACHIA KAZI YAKE MPYA MWAKA HUU WA 2010 INATAMBULIKA KAMA "HUWEZIJUA"AKIMSHIRIKISHA MTUMZIMA KUTOKA CALIF...JUA CALI...GOMA LINABAMBA NA LINAKIMBIZA KWASASA ON RADIO STATIONS ALL OVER EAST AFRICA....JIONGEZE HAPO DOWN KUNA LINK YA KUDOWNLOAD NGOMA ZA MISOSI IKIWAMO NA HIYO MPYA"HUWEZIJUA",PATA FLAVA NOW!!!
DOWNLOAD HERE:-BWANA MISOSI TRAXX-FOR PROMO ONLY(DEE7).rar

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates