Wednesday, May 5, 2010


D.KNOB AKANUSHA HABARI ZA GAZETI JUU YAKE.

Msanii wa kizazi kipya Innocent Sahani a.k.a DKnob amekanusha kufanya interview na mwandishi wa habari wa gazeti lolote hivi karibuni. D knob Ameitumia ujazo blog na Babkubwa Media Meseji kwa njia ya simu ikisema.

Hi! Napenda kutangaza kuwa sijafanya interview na mwandishi wa habari yeyote hivi karibuni kwa hiyo nakanusha habari iliyoandikwa na gazeti la ijumaa la wiki mbili zilizopita kuwa wabongo wananidisi. Bila wabongo nisingekua hapa nilipo na wananisapoti na ndio maana Napata moyo wa kufanya vizuri.

Thax

Innocent Sahani a.k.a Dknob0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates