Wednesday, May 5, 2010

RAMA DEE-SI WAOAJI HAO...


                                                                   RAMA DEE
NIMEKUSIKIA KTK SINGLE YAKO MPYA YA "SI WAOAJI HAO"...UKISEMA MABINTI WASIWAPE MAPENZI WASHUSHA SURUALI KWA NYUMA(KATA KUNDU)....HALAFU WASIWAPE MAPENZI WABANA PUA KWA TRACK ZA NJAA....HEBU NAOMBA UFAFANUZI HARAKA....WAKATI BADO UNAJIPANGA TUELEKEE HUKU>>>>>>>
kama vipi download the track hapa:-

2 comments:

Anonymous said...

hii ni kwa yeyote anae husika kama nimuowaji hauwezi msumali kukuchoma ila kama sio mmmmmmmm alafu unakuta watu wanafanya mziki si kama ofisi wanafaya ili wapate mababy wengi wao wabana pua!! ninapo sema track zanjaa niwale wanao fata mkumbo nakuwa naimani potofu kuwa rnb haiuzi!! kiukwali hata mimi hii ngoma inani dc kimtindo kikubwa ninacho kifanya sasahv ni kuja na kila ki2 kipya idia mpya namambo mengi..sasahv nakuja na vdio zakufa m2

DEE7 said...

rrrrrrraaaaaaa,nimekusoma RAMA DEE...ila bado sijaridhika,umesema inakudis pia hii track,fafanua kiaje?

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates