Sunday, May 30, 2010

KUTOKA KWA AMBWENE 2010

TWENDE SASA NA MAKUSANYO YA TUZO>>>>>>>

Chaguo la Teenz na Kili Awards tumekamata n' I believe niko na support kubwa nyuma yangu that's y tunashinda. Now ni tym ya MUSEKE AWARD, u can vote kwenye website yao for free na mara nyingi utavyoweza ili AY ashinde. 
Niko kwa 5 Categories: 
Artist of the year
 / Best Male / Best Collaboration (feat. Avril n' Wahu) / East African Song (Leo; original version) / Hip Hop Song (Leo:Original version). 
ingia www.awards.museke.com kisha vote kwa AY.. Awards zitafanyika tarehe 1 June
ONE!

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates