Sunday, May 30, 2010

DUDU BAYA APIGWA CHINI (ARTS IN TANZANIA)>>>>>>>

picha na habari hii ni kwa msaada wa http://djfetty.blogspot.com/

msanii Godfrey Tumaini aka DUDU BAYA  ambae alikua ni promotion manager wa kampuni inayoitwa arts in Tanzaniaametimuliwa kazi kwa kutokufikia malengo ya kampuni,jukumu alilokuwa nalo katika kampuni ni kupromote wasanii waliochini ya kampuni hiyo lakini manager wa kampuni hiyo amesema kuwa mara nyingi DUDU BAYAamekuwa akijifanyia promotion yeye binafsi na hivyo kutokufikia malengo,barua ya kutimiliwa mzigo ameshaipokea na iliandikwa tarehe 3 mwezi MAY-2010.

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates