Wednesday, May 5, 2010


RAY C

MDOGO WANGU REHEMA NIMEPATA HABARI KWAMBA KWASASA UMEAMUA KUACHANA NA PURUKUSHANI ZA USICHANA NA UMEAMUA KUFANYA GAME HUKU UKIMRUDIA MUUMBA(MUNGU),NIMEFURAHI JUU YA HILO BUT SINA UHAKIKA LABADA UNITAARIFU WEWE MWENYEWE....VP ZINA UKWELI HIZI????....HAYA TWENDE>>>>>>>>>>>

1 comments:

Anonymous said...

mmmmmmh....nina mashaka na story hii kama ni kweli coz hata mapigo ya moyo yanakataa.....

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates