Sunday, May 30, 2010

VITA UWANJANI YA TEMBA NA CHEGGE UZINDUZI 4-6-2010

picha kwa msaada wa(http://djchoka.blogspot.com/)
ILE ALBUM YA USHIRIKIANO KATI YA MEMBERS WAWILI WA TMK-WANAUME FAMILY....YAANI CHEGGE NA TEMBA IJULIKANAYO KAMA "VITA UWANJANI",SASA RASMI ITAZINDULIWA TAREHE 4-6-2010 KATIKA KIWANJA CHA CLUB SUN CIRRO.....
WATASINDIKIZWA NA WASANII KIBAO MIONGONI MWAO NI WAHUU TOKA KENYA WALIE IMBA NAE KATIKA WIMBO WA "MKONO MMOJA",MICHAEL ROSS KUTOKA UGANDA,GODZILLA NA WENGINE KIBAO PAMOJA NA KUNDI LAO LA TMK WANAUME FAMILY>>>>>>USIKOSE HIII.....

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates