Tuesday, July 13, 2010

CHIKU KETO....WHATS NEXT???

CHIKU KETO
KWA MARA YA KWANZA NAISIKIA SAUTI YAKE NA KUSIKILIZIA STYLE YAKE NAFSI YANGU ILINAMBIA WAZI KWAMBA BONGO HIP HOP IMEPATA KICHWA NOW KWA UPANDE WA AKINA DADA,NDIO NAKUMBUKA KINA DADA KIBAO WALIKUWA WAKALI MFANO RAH-P,SISTER-P,GHETTO QUEEN,ZAY B NA WENGINE AMBAO SIJAWATAJA AU SIWAJUI,LAKINI NI WAZI KWAMBA UJIO WA CHIKU KETO ULIKUWA WA AINA YAKE, KISHINDO HEAVY KUPITIA SONGI LAKE LA “MUDA UMEFIKA” AKIMSHIRIKISHA “LAMECK DITTO”,DADA HUYU AMBAYE KWASASA NDIO KIONGOZI MTENDAJI WA KUNDI LA “LA FAMILIA”AMEFANIKIWA KWA KIASI KIKUBWA KUWEKA SAWA ISSUE ZA MUZIKI KWA UPANDE WAKE JAPOKUWA MIMI BINAFSI SIKURIDHIKA NA UJIO WAKE WA PILI KATIKA WIMBO WAKE”NATESEKA” ALIOMSHIRIKISHA “CHIDI BENZ”,NAONA KAMA AMEJILAZIMISHA SANA KUSHUSHA TEMPO YAKE ILI AWEZE KUIMBA WIMBO HUO AMBAO MIMI HUUCHUKULIA KAMA BLUES…..ANYWAY NAAMINI ATAKUWA ANAJIPANGA KUJA KATIKA STYLE ILEEEEEEEEE AMBAYO WENGI TULIMKUBALI KUPITIA HUMO….SIKILIZA WIMBO WAKE”MUDA UMEFIKA”KATIKA PLAYLIST YANGU HAPO PEMBENI>>>>>>>

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates