Tuesday, July 13, 2010

ALIKIBA APOKEA KICHAPO MITAA YA GEITA>>>

ALIKIBA....PPPUUUFFF>>>

KAMA KUNA TAREHE AMBAYO ALIKIBA HATOKAA AKAISAHAU KWA MWAKA HUU WA 2010 BASI NI DHAHIRI ITAKUWA TAREHE 9 JULY 2010.
ALIKIBA ALIKUWA NA SHOW MJINI GEITA IKIFANYIKA KTK UKUMBI WA AMBASSADOR,SHOW HIYO ILIYOKUWA IMEANDALIWA NA PROMOTER ALIETAMBULIKA KWA JINA MOJA LA “NASRA”,SHOW ILIANZA MAPEMA KWA KUWATANGULIZA WASANII WACHANGA NA WENYEJI WA ENEO LA TUKIO,ISSUE IMEENDA MPAKA JAMAA WOTE WAKAMALIZA KUIMBA MIDA YA SAA NNE NA NUSU USIKU…..BAADA YA HAPO IKAWA SASA NI ZAMU YA MWENYE SHOW YAKE”ALIKIBA”KUINGIA NA KUKAMUA….KWA MSHANGAO WA WALIOKUWA UKUMBINI JAMAA HAKUTOKEA JUKWAANI HATA BAADA YA MC KUITA MARA KADHAA,ILIKUWA SAA TANO MARA SAA SITA…SAA SITA MARA SAA SABA…..MMMMMMH…MARA SAA NANE,KUFIKIA MIDA YA SAA TISA KASORO KAMA DAKIKA SABA GARI LIKA FUNGA BREAK UKUMBINI KWA NJE,ALIKIBA AKIWA NA KUNDI LAKE LA “4REAL”WAKASHUKA KAMA WAFALME TOKA NCHI ZA GHUBA YA UAJEMI,NYOMI LA MASHABIKI WAKO NJE WAKIMNGOJA KWA HAMU,KUONA HIVYO AKAJUA NI MAPOKEZI YA UJIKO KUMBE LLLLLLAAAAAAAA!!!!!,HAJA KAA SAWA MARA KAMWAGIWA BEER,WAKATI BADO ANASHANGAA MARA WAMEMRUKIA NGUMI…PPPUUUFFF>>>,MARA MATEKE…TTTIIIFFF>>>,MARA KILIO….MUNGU JAALIA BOUNCERS WALIOKUWA KARIBU WAKAINGILIA KUMUOKOA KUJANA…MMMMMMMH NAOMBA NIISHIE HAPA KWA LEO….UNATAKA KUJUA NINI KILICHOMCHELEWESHA MUDA WOTE HUO???...NIPE MONEY NIKUIBIE SIRI>>>ITAENDELEA MWAKANI>>>


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates