Sunday, July 11, 2010

P-UNIT YATISHA NA"KARE">>>

NIMEKAA MASKANI NAISIKILIZIA NGOMA HII"KARE"TOKA KWA WANA P-UNIT,KWELI MACHIZI WAMECHANGE SANA NA IKO NJEMA HOPING ITAFANYA VEMA,TAYARI INAPATA AIR PLAY ON MY SHOW"TOP UJAZO"KWA KISS FM TANZANIA...THANX TO NONINI KWA KUNITUMIA THIS TRACK....LISTEN TO THIS SONG ON MY PLAYLIST ...
DOWNLOAD HAPA>>>FOR RADIO PROMO ONLY...DAMN

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates