Monday, July 12, 2010

RAMA DEE-USIJLI MPENZI LYRICS>>>


USIJALI MPENZI(KOLA)


Niamini mpenzi mimi
Usiwe na wasiwasi mwingi
Nyumbani tegemeo haswa vikao vya Family
Usipo niamini jua hatujengi mapenzi

Bridge
Kola usijiumize moyo
Kola nipo na wewe
Naona hujiamini wewe
Mbona uko mwenyewe

Chorus
Niko nyumbani usijali mpenzi
Nina kikao cha family wivu usiwe mwingi x2

Verse 2
Leo hii mimi sipo mbali wivu unazidi yako hali
Jemimi nikiwa mbali siutafunga vilago uende mbali
Mbona mimi uniamini?
Mbona hivi kwani ni nini?

Bridge
Kola usijiumize moyo
Kola nipo na wewe
Naona ujiamini wewe
Mbona uko mwenyewe

Repeat Chorus

Breakdown
Haa.. ha.. haaaa..
Come on
Haaaa haaa haaaa
Usijali

Repeat Chorus 
*********
RAMA DEE-USIJALI

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates