Sunday, August 29, 2010

2010-MWAKA WA HIP HOP....MWANZO WA TONGWE RECORDS

TONGWE RECORDS


2010 KWANGU MIMI NAUCHUKULIA KAMA NI MWAKA WA MUZIKI WA RAP NDANI YA HIP HOP KUTAMBA NA KUFANYA VEMA ZAIDI,NIMEKAA NIKIANGALIA JINSI MZUNGUUKO WA GAME HILI LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA ULIVYO NA UNAVYOKWENDA,NIMEGUNDUA KWAMBA MOST OF THOSE PRODUCERS WALIOKUWA WAKITEGEMEWA KWA KUNYONGA BEATZ ZA UJAZO WA KWELI KTK HIP HOP WAMESTOP AU WAMEBADILI MUELEKEO NA KUJALI ZAIDI STYLE ZA KUIMBA JAPOKUWA WAPO WACHACHE WALIO JARIBU KUKAZA,TALKING OF THAT SITOWEZA KUMSAHAU PRODUCER DX WA NOIZ MEKKAH
 PRODUCER DX OF NOIZ MEKKAH
ARUSHA KWA MOYO MKUNJUFU JAMAA AMEJITAHIDI KUKAZA KTK PRODUCTION YA HIP HOP MUZIK JAPOKUWA SIO MKONGWE KIVIIIIILE,KILICHONIFANYA NIONGELEE HILI JAPO KWA UFUPI NI UJIO WA PRODUCER JEREMY J-RYDER KYEJO”
WA TONGWE RECORDS,HEBU JARIBU KUANGALIA PICHA HIZO ZINAZO WAKILISHA SINGLES ALIZO PRODUCE JUST KWA MWAKA HUU,UTAKUBALIANA NAMI,UJAZO INAFANYA MPANGO WA KUONGEA NAE NA SOON TUTAKUSHUSHIA INTERVIEW YOOOOOOTE…..PPPUUUFFF>>>

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates