Monday, August 30, 2010

G-RECORDS YAMPIGA CHINI ALIKIBA....

ALIKIBA and his former manager GURU


Ile ndoa ya kikazi baina ya msanii ALIKIBA na Kampuni ya G-RECORDZ imefikia tamati rasmi leo 30-08-2010,akiongea na ujazo kwa njia ya simu…CEO wa kampuni hiyo GURU RAMDHAN amesema wamefikia tamati baada ya kukaa na kuzungumzia mambo mbali mbali baina ya kampuni na ALIKIBA.ujazo entertainments haikusita kumsaka GURU RAMADHANI na haya ndio yalio jiri ktk maongezi…
DEE7:-“hello Guru…mambo niaje mwana”?
GURU:-“mambo poa kaka,issue niaje”?
DEE7:-issue poa sana swaumu kama kawa,”ebana kuna habari juu ya G-RECORDZ kusitisha usimamizi wa shughuli za muziki kwa msanii ALIKIBA,vp kuna ukweli wowote”?
GURU:-“Kaka rasmi nakuarifu kwamba kuanzia sasa alikiba hayupo chini ya uongozi wangu ktk lebo ya G-RECORDZ, ALIKIBA ameomba kwetu ajitegemee kimuziki, so maswala yote ya promotion kwa kazi zake na shows atakuwa anadeal mwenyewe, kwa sasa G-RECORD itabaki kudeal na albums zake mbili(CINDERELA na ALI K 4 REAL) zaidi ya hapo hatuhusiki kaka”...
DEE7:-“duuuuh!!!,poa kaka nimekusoma,lakini vp mbali na alikiba kuna msanii mwingine aliye chini ya usimamizi wa kampuni yako”?
GURU:-“yeah….wapo mwana wapo kibao karibu wote unao wajua including PASHA,SHO DADDY,PICCO na wengine kibao tu…”
DEE7:-“shukran kaka kwa time yako…one luv”
GURU:-“nashukuru sana mchana mwema….”

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates