Monday, August 23, 2010

AY&FA WAFANYA KWELI KTK SAFARICOM FACEBOOK 2010 SHOW

UCJE MJINI NSHA KWAMBIA....
TALKING TO THE PRESS
FA..aka COUSIN(BINAMU)
HA..HA..HABARI NDO HIYO!!!!
BADO MI NANGOJA AGEUKEEEEE...EEEEYAH!!!
AY and JOHN BLASS
SHOW ILIKUA YA SAFARICOM,INAITWA FACEBOOK…KULIKUA NA WASANII KIBAO INCLUDING MOG,P UNIT,NAMELESS,NONINI NA AY&FA.ILIFANYIKA NAIROBI KATIKA VIWANJWA VYA KICC ,AY&FA WALIFUNIKA MBAYA KWA KWELI…TAMASHA ZIMA LILIBEBWA NA PERFOMANCE,ZAWADI MBALIMBALI NA MASHINDANO YA KUTAFUTA CAMPUS BORA YA FACEBOOK,HIGHSCHOOL BORA YA FACEBOOK NA MR&MISS SAFARICOM FACEBOOK2010… STORY NA PICHA BY(JOHN BLASS)

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates