Monday, August 23, 2010

BADO NAWAKILISHA BONGO IN U.S.A(PROF JAY)

EYOOOOO....KANSAS PEOPLE...ARE U READYYYYYY....

TWENDE SASAAAAA......
YO MAMSAAAP NIPOZE MOYO MAMA....HAHAHAAAA
BOOONGOEEEE...BONGO DAR ES SALAAM..LOL
MAUZO 100%,SASAJE SHOW YA KAKA YETU FULL KUJIACHIA
DUUUUH...NA HAWA PIA WALIKUWAMO!!!!
HAHAHAAAAA...DUUUUUUH!!!
ULIZA ONLY ONE QUESTION JUU YA PICHA HII
HII NAYO NI MOJA YA HOMEWORK ALIZO KUWA NAZO..PPPUUUFFF
PICHA HIZI NI ZA SHOW ILIYOFANYIKA “KC” KANSAS CITY 21-AUGUST 2010...
PICHA ZAIDI UTAZIPATA….WAKATI HAYA YANAENDELEA JAY ANAJIPANGA KUINGIA STUDIO KUKWANYUA KOPPO MOJA LA HATARI AKIMSHIRIKISHA MDOGO WAKE STANBOI…TEGA SIKIO KWA HABARI ZAIDI…

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates