Monday, September 6, 2010

NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI?(R.I.P-RUFF NELLY)

Yereeeeee!!!!...hahaaaa,wanangu wa mererani...Hii ni mahsusi na maalum kwa watu wangu,walemavu,vipofu na wendawazmu,Watoto wa mitaani,fukara,masikini na wenye akili zao timamu.Hii kamba ngumu,tunavutana na wenye nguvu,vitambi na mashavu,hakuna tena fear game, refa kauzu,uwanja wenyewe mkavu,ajira ngumu malipo finyu,kilchobaki kucheza rafu,2mechoshwa na ukabaila,ubepari na ubeberu,wakati ndo huu!Ukombozi ndo huu na sasa naamuru mlioko chni mpewe divai ya mimi mtetez wenu!Nijkaze kidamu,nimwage sumu ya upupu juu yao wajikune bila aibu.Kwanza saut kwa waliotangulia kuzimu,pili 2ombe MUNGU baba ye2,a2pe mkate we2 wa kila siku,utujaze nguvu,tupate kudumu,utupe nafasi tupate kutubu,tunajua tunatenda maovu,sometimes tunakula haram,tunatumia kila mbinu,dini,uhalifu,udanganyifu ili tuweze kujikimu!!Lakn isiwe kisingizio kwa wanadam wengine kutunyima haki zetu!,Kutuzibia riziki zetu,kutuita makafiri,dharau na kutukashifu…. (R.I.P Ruff Nelly)
FAZA NELLY
Faza Nelly was the oldest of the group, and he was the brain behind much of the group's core philosophy. His styles were energetic and full of expression as can be seen in the music videos. Ruff was responsible for the Tanzanian promotion of the group, and he had been crafting his beat boxing skills. Having spent part of his youth in his parental village near Bukoba (western Tanzania), he was fluent in the Haya language and knew much about traditional customs. 
Faza Nelly was stabbed to death in March 2006 as he was trying to negotiate in an argument between two neighbors. His passing away shocked his friends, family and fans around the world….rest in peace (RUFF NELLY)

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates