Monday, September 6, 2010

HII NDIYO VERSE YANGU"JCB"...UKISIKIA PAAAAA!!! RMX

JCB
“damu  ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA,watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar,sio polis sio baunsa iliye kaa utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini,amini usiamini akabaki tu na mimi,akanishikia bunduki kwa chini,akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga  risasi kama sabini,anasura kama idi amini akarudi  karibu atua tatu mpaka kabatini,akatamka HEYOO nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini,akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki akasema kama simuonyeshi leo sio koki,jinsi alivyo akilenge ye akosi mikosi,kaa koti jeusi jasusi,mikono nikaweka juu kuepuka nukxu huku natukana mengi matusi...ukisikia PAAAA...”

0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates